Rais Magufuli ateua mwingine Ukuu wa Wilaya


Baadhi ya wilaya ziliachwa wazi na Wakuu wa Wilaya baada ya kuteuliwa katika nafasi zingine za uongozi,  April 18 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemteua Hamphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mkoani Mara.
Polepole anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Kamishna Msadizi mwandamizi wa polisi (Mstaafu) Zelothe Steven ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Uteuzi wa Hamphrey Polepole umeanza 

Humphrey-Polepole
Humphrey Polepole
polepole
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment