Picha ya Diamond Platnumz inayo-trend sana mitandaoni, Nay wa Mitego hakutaka impite



Staa mwenye jina zito kutoka kiwanda cha Bongo Fleva Diamond Platnumz bado jina lake limekuwa gumu kukauka midomoni mwa watu, hii inatokana na uwezo wake mkubwa wa kuimba pamoja na kuachia video kali kila kukicha.
Diamond Platnumz usiku wa April 6 kuamkia April 7 2016 aliingia kwenye headlines baada ya kupost picha inayomuonesha akiwa kavaa kipini puani, picha ambayo imepata comment nyingi kutokana na watu wengi kushangazwa kwa kitendo hicho, 
mmmm
Post ya Diamond
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Nay wa Mitego aliwahi kumkosoa Chid Benz katika wimbo wake wa Nasema nao kuhusu uamuzi wa kutoboa pua, ila picha ya Diamond Platnumz aliipost katika account yake ya instagram na kuandika naytrueboy Baba Tiffah you look mmmwaaah😍😍@diamondplatnumzumenogaaaaa mwananguuuuuuuuuu..!! Hukoseagi yaniiii😎😎.! Mapovuuuuuuuuu sasaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nai
Hii ni post ya Nay wa Mitego
sta
Hii ni post ya Stan Bakora ambaye aliipost muda mchache baada ya Diamond kupost
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki wa Diamond Platnumz
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment