OSCAR DE LA HOYA AMPATIA USHAURI BONDIA AMIR KHAN OSCAR DE LA HOYA AMPATIA USHAURI BONDIA AMIR KHAN

Bondia Oscar De La Hoya amemshauri bondia Amir Khan kutumia kasi yake ya kurusha masumbwi ili kumshinda kirahisi Canelo' Alvarez

Amir Khan amekuwa akijifua vikali kujiandaa na pambano hilo litakalofanyika Jijini Las Vegas Marekani mwezi Mei mwaka huu.
                           Amir Khan akijifua katika kambi yake kujiandaa na pambano 
                               Amir Khan akifanya mazoezi huku akijiangalia kwenye kioo
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment