NUSU FAINALI LIGI YA UROPA LIVERPOOL KUVAANA NA VILLARREAL


Timu ya Liverpool imepangiwa kuvaana na Villarreal katika mchezo wa nusu fainali ya ligi ya Uropa.

Liverpool itaanzia ugenini katika dimba la Estadio El Madrigal katika mchezo wa kwanza na kurejeana nyumbani.

Shakhtar Donetsk watavaana na Sevilla ambapo mchezo wa kwanza utafanyika Ukraine na wa marudio Ramon Sanchez Pizjuan.

Michezo ya kwanza ya nusu fainali za Ligi ya Uropa itafanyika Aprili 28 na marudio baadaye Mei 5.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment