Jumatano hii April 27 2016 Wasikilizaji wa CloudsFM watamsikia kwa mara ya kwanza mmoja kati ya Watangazaji hodari wa wakati wote ambaye alipata umaarufu sana kupitia vipindi mbalimbali vya CloudsFM toka kitambo hicho.
CMG (Clouds Media Group) imethibitisha kwamba Mtangazaji Masoud Kipanya anarejea kufanya kazi na atasikika kwenye show ileile ya POWER BREAKFAST akiungana naBarbara Hassan na Fredwaa ikiwa ni baada ya Gerald Hando na PJ kumaliza mkataba wao na CMG.
About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com
Phone:0719337774
0 comments:
Post a Comment