Mastaa wa Empire Trai Byers na Grace Gealey wafunga ndoa bila kualika muigizaji yoyote wa Empire.


empire

Hizi ni picha za harusi ya mastaa wa Empire Trai Byers na Grace Gealey iliyofanyika kwneye jumba la kifahari huko kisiwani Grand Cayman na harusi ilifungwa na mchingaji Pastor Alson Ebanks kutoka visiwani huko.
TMZ wameripoti kuwa hakuwa staa wa Empire aliyealikuwa kuwenye harusi hio

2016-04-13-17-52-480w 2016-04-14-15-36-480w 2016-04-14-21-46-480w 2016-04-14-21-47-480w 2016-04-14-22-33-480w
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment