Imefahamika kuwa ule msako wa Wauza unga sasa umenoga hadi kufikia
kuchunguzwa kwa mastaa mbali mbali wa bongo hasa wale wanaosafiri mara
kwa mara nchi za nje...Habari zinasema uchunguzi huo sasa unamgusa mpaka
mpenzi wa Diamond Platnumz ajulikanaye kama Zari Hassan ambae Safari za
Bongo kwenda South Afrika na kurudi hazimuishi....
Home
SANAA TZ
Mastaa Bongo Waanza Kuchunguzwa Msako wa Wauza Unga...Zari wa Diamond Naye Pia Achunguzwa
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment