Amesema >>> ‘Hii ni mara ya kwanza nasafiri na Familia, nimefanya hivi sababu miaka inaenda na mama yangu tangia niwe maarufu hajawahi kwenda Ulaya alikua anaisikia tu kwenye bomba, niliona kesho na keshokutwa nisije kudondoka nikafa alafu mama yangu akabaki akawa anaisikia tu‘
Majibu ya Diamond… kwanini aliibeba familia na kwenda nayo Ulaya, bongofleva ilipofikia
Amesema >>> ‘Hii ni mara ya kwanza nasafiri na Familia, nimefanya hivi sababu miaka inaenda na mama yangu tangia niwe maarufu hajawahi kwenda Ulaya alikua anaisikia tu kwenye bomba, niliona kesho na keshokutwa nisije kudondoka nikafa alafu mama yangu akabaki akawa anaisikia tu‘
0 comments:
Post a Comment