MAHAKAMA YASEMA SI KOSA KUMUITA KINYOZI SHOGA NCHINI UFARANSA

Mahakama Jijini Paris nchini Ufaransa imetoa uamuzi kuwa kumuita shoga kinyozi wa kiume sio tusi la kukera kwa kuwa saluni nyingi huajiri vinyozi mashoga.

Uamuzi huo wa mahakama unafuatia kesi iliyofunguliwa na kinyozi ambaye alifukuzwa kazi na bosi wake baada ya kutofika kazini kutokana na kuwa mgonjwa.

Bosi wake huyo alimtumia meseji ya kumtimua kazi kinyozi huyo ambapo pia alimuita kuwa ni shoga mchafu.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment