Timu ya Leicester City itashinda Ligi Kuu ya Uingereza iwapo itaifunga Manchester United katika dimba la Old Trafford siku ya jumapili.
Ushindi wa jumapili utaihakikishia ubingwa Leicester City baada ya Tottenham kushindwa kushinda jana na kutoka zare ya 1-1 dhidi ya West Brom katika mchezo wa ligi hiyo.
Matokeo hayo ya jana yanaifanya Tottenham kuwa nyuma kwa tofauti ya pointi saba dhidi ya Leicester City huku kila timu ikiwa imebakiwa na michezo mitatu. Kipa Boaz Myhill akishindwa kuuzuia mpira ukimpita tobo baada ya Craig Dawson kujifunga Craig Dawson akiruka juu na kupiga kichwa mpira wa kichwa uliojaa wavuni na kufanya matokeo kuwa 1-1, na kusawazisha kosa la kujifunga hapo awali

About Unknown
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com
Phone:0719337774
0 comments:
Post a Comment