Mshambulaiji Jamie Vardy amefunga mara mbili wakati vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza wakishinda mabao 2-0 dhidi ya Sunderland.
Vardy alimalizia kirahisi mpira na kupachika goli la kwanza kabla ya baadaye pia kuwazidi kasi mabeki wa Sunderland na na kufunga la pili dakika za majeruhi.
Mshambuliaji Jamie Vardy akipachika goli
Jack Rodwell akipoteza nafasi ya wazi ya kufunga
0 comments:
Post a Comment