Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia
Chama cha AFP Mhe Said Soud Said, akiwasili katika jengo la Baraza la
Wawakilishi Zanzibar cha ajili ya kula kiapo baada ya kuteuliwa Nafasi
hiyo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein.
Mwakilishi wa Nafasi ya Kuteuliwa na
Rais wa Zanzibar Mhe Said Soud Said akisalimiana na Mwandishi wa Kituo
cha TV cha Channel ten Ndh Munir Zakari wakiwa katika jengo la Baraza la
Wawakilishi Chukuwani Zanzibar.
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Nafasi
ya Kuteuliwa na Rais wa Zanzibar Juma Ali Khatib wa Chama cha ADA-TADEA
akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya
kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa ajili ya kuaza kazi ya Kuwawakilishi
Wananchi wa Zanzibar.
Mhe Juma Ali Khatb wa Chama cha ADA
-TADEA , akisalimiana na Mhe Balozi Amina Salum Ali wa Chama cha
Mapinduzi wakati walipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi
kuhudhuria hafla ya kuapishwa kuwa Wajumbe wa Baraza baada ya kuteuliwa
na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
0 comments:
Post a Comment