WAZIRI MKUU WA SOMALIA AUNGA MKONO KAMPENI ZA KUPINGA UKEKETAJI

Waziri Mkuu wa Somalia ameunga mkono wazi kampeni ya kupiga marufuku vitendo vya ukeketaji wanawake nchini humo.

Kwa mazingira ya sasa ukeketaji Somalia ni kinyume na Katiba, lakini bunge la nchi hiyo bado halijapitisha muswada wa kupiga marufuku.

Waziri Mkuu Omar Abdirashid Ali Sharmarke amejiunga na zaidi ya mamilioni ya wananchi wa Somalia waliosaini shinikizo kwa njia ya mtandao la kutaka kupigwa marufuku ukeketaji.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment