Msimamo wa ACT kuhusu tuhuma za rushwa kamati za bunge



 March 23 2016 Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake juu ya maamuzi yaliyofanywa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwahamisha kamati Wenyeviti, Makamu wenyeviti na Wajumbe wa baadhi ya kamati za kudumu za Bunge uliofanywa jana March 22 2016 baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Job Ndugai alifanya mabadiliko ya baadhi ya wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment