KAMPUNI YA UJERUMANI KUANZISHA USAFIRI WA TRENI YA WANAWAKE TU

Kampuni moja ya Ujerumani itaanza kutoa usafiri wa treni utakaokuwa ukitumiwa na wanawake tu katika hatua inayochukuliwa kuwa ni ya utata inayolenga kuwalinda wanawake dhidi ya wahamiaji.

Treni hiyo maalum kwa kuwasafirisha wanawake na watoto tu, inafuatia kutokea kwa matukio ya mashambulizi ya kingono kwa wanawake Jijini Cologne usiku wa mwaka mpya, ambayo yanadaiwa kufanywa na wahamiaji.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment