Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akisalimiana
na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel wakati alipomtembelea leo ofisini
kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.
Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la
Israel, Rone Plot (kushoto) akimwelezea jambo Katibu wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah wakati
alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kufanya
mazungumzo naye.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) akimweleza
jambo Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati
alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiwa katika
picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plotwakati
alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kufanya
mazungumzo naye.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongea na
Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati wa chakula cha
mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo katika Katibu wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah na
Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot yakiendelea katika hoteli
ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi
zawadi ya trei ya kubebea vinywaji mke wa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la
Israel, Bi. Shosh Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya
Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akipokea
zawadi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot wakati wa
chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es
Salaam.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi
zawadi ya kinyago Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot wakati
wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es
Salaam.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia)akiwa
katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot
(wa pili kushoto) wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya
Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu wa
Bunge John Joel.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment