Kocha wa Newcastle United
aliyetimuliwa kazi Steve McClaren ameonekana akifurahia wakati huu wa
mapumziko bila ya kibarua baada ya kunaswa akiwa na mkewe Kathryn
kwenye fukwe huko Caribbean.
McClaren alitimuliwa baada ya
kuiongoza timu hiyo kwa miezi tisa akiwa St James' Park na baada ya
hapo McClaren ameamua kupoteza mawazo ya kutimuliwa kazi kwa
kujirusha ufukweni.
Kocha McClaren akiendesha pikipiki ya majini akiwa amempakia mkewe
0 comments:
Post a Comment