Mashabiki wamekuwa na shauku kubwa ya kuona sura ya mtoto wa Diamond na Zari ‘Latiffah Naseeb ‘Tiffah’ kutokana na maneno yaliyosamba mitandaoni kuwa Tiffah sio mtoto wa Diamond Pltanumz,
Mpaka sasa hakuna picha inayoweka wazi sura ya Tiffah na hii imepelekea shabiki kumuuliza Zari kupitia facebook lini atamuonyesha Zari kwa watu na wajue Sura yake ?
Zari alijibu “Baada ya siku 40”
Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaosubiri kuona sura ya tiffah basi zimebaki ziku chache.
P yhaa tv come soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment