Chombo cha habari cha taifa la China
kimetangaza kuwa ,wamiliki wawili wa ghala ambazo zilisababisha mlipuko
mkubwa wiki iliyopita walipata kibali cha kuhifadhi bidhaa hizo zenye
madhara kwa njia ya kujuana.
Wamiliki hao walipata kibali batili kinachowaruhusu kuwa na ghala hilo karibu na makazi ya watu wakati sheria hairuhusu.shirika la habari la Xinhua,nchini China limesema kuwa mmoja wa wamiliki ni mtoto wa polisi mkuu wa zamani wa eneo hilo wakati mwingine alikuwa kigogo wa kampuni ya taifa ya kemikali .
Hata hivyo wamili wote wawili wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kusababisha mlipuko mkubwa uliosababisha vifo vya watu wapatao mia moja na kumi na wanne.
P yhaa tv come soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment