Bado matukio ya ubakaji yameendelea kushika kasi katika nchi mbalimbali duniani licha ya kuwepo kwa sheria za kuwabana wahusika.
Hapa kuna hizi nchi 10 ambazo zinaongoza kwa matukio ya ubakaji duniani.
1. Afrika Kusini
Afrika
ya Kusini ndio nchi yenye idadi kubwa ya kesi za ubakaji duniani
wanazofanyiwa watoto wa dogo..mwaka 2000 jumla ya kesi 67,000
ziliripotiwa.
Nchi
ya Botswana inashika nafasi ya pili kwa matukio ya ubakaji..mwaka 2011,
10.3% ya wanawake zaidi ya 600 walifanyiwa vitendo vya ubakaji
33% ya wanawake walibakwa wakiwa na umri wa miaka 18 huku kukiwa na 66% ya kesi za ubakaji kila mwaka
Kasi
ya ubakaji kwa wasichana chini ya miaka 18 imekuwa ikiongezeka..Ripoti
ya UNICEF imesema msichana mmoja kati ya watatu hubakwa na kuchangia
uwepo wa maambukizi ya VVU kwa wingi
Nchi
hii ipo mpakani mwa Uingereza..imekua na matukio mengi ya ubakaji hadi
kupelekea wanawake kutengewa sehemu yao kuepuka vitendo hivyo
Tangu mwaka 2005matukio ya ubakaji yamekua yakitokea na hayabadiliki licha ya kupitishwa sheria kali
Matukio
mengi ya ubakaji katika nchi hii iliyopo Amerika ya kusini yamekuwa
hayaripotiwi licha ya kutokea mara kwa mara..lakini yamekua yakipungua
kadri siku zainavyokwenda
9. Nicaragua (America ya Kaskazini)
Hiki ni moja ya visiwa masikini duniani lakini kinaongoza kwa matukio ya ubakaji kwa asilimia kubwa..
Kila anayepatikana na kosa la ubakaji katika nchi hii adhabu yake ni miaka 15 jela
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment