Sauti Sol - Shake Yo Bam Bam (Official Music Video ) 2015





Sauti Sol ni kundi la muziki kutokea Kenya ambalo limezichukua headlines nzito Tanzania na mara ya mwisho ilikua ni kupitia hit single ya sura yako lakini time hii wametuletea video ambayo bado ni mpyampya ilitoka Aug 19 2015 na imetengenezwa Nairobi na Director Mnigeria Clarence Peters.


Hii ni single yao ya tano kutoka kwenye album yao itayotoka mwaka huuhuu wa 2015 inaitwa Live and Die in Afrika.

P yhaa tv coming soon








































































Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE


share
 









































































face book ipyana stephen



























































































































































































































































































Share



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 
































































































































































































































































































































































































Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment