Polisi na wanajeshi wa Myanmar wamevamia makao makuu ya chama kinachoungwa mkono na jeshi cha Nay-Pyi-daw.
Hakuna
taarifa rasmi iliyotolewa lakini waandishi wa habari katika eneo hilo
wamesema kuwa hali ya sintofahamu katika chama hicho imesababishwa na
ushindani mkali wa kung'ang'ania madaraka katika chama hicho
kinachotawala miezi kadhaa iliyopita.Na habari zinazotufikia hivi sasa ni kuwa Spika wa Bunge la Myanmar ameondolewa kama mwenyekiti wa chama kinachotawala miezi mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment