Miley amesema “Nicki minaj angelalamika kwa moyo msafi bila kuleta ubinafsi basi tungeelewa ila amelalamika sababu anahasira zake kuhusu mambo flani, amekose kulalamika, angetakiwa alalamike kuhusu ubaguzi, sio kuhusu video yake binafsi”.
Nicki alilalamika kuwa kazi bora za wasanii wa kike wenye rangi nyeusi hazipewi nafasi kwenye tuzo hizo.
“If I was a different ‘kind’ of artist, Anaconda would be nominated for best choreo and vid of the year as well,” Nicki Minaj
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment