MARADONA AMPA ZAWADI REFA ALIYEKUBALI GOLI LAKE LA MKONO MWAKA 1986


Hand of God ndio jina maarufu la goli ambalo Maradona alifunga kwenye mechi ya kombe la dunia dhidi ya England. Lakini katika mechi hiyo refa hakuweza kuona kama Maradona alifunga goli kwa mkono, matokeo yake likahesabiwa kuwa halali.
Wiki hii Maradona akiwa Tunisia amemtembelea refa huyo anayeitwa Ali Bennaceur. 
Maradona alipokutana na refa huyo ambaye kwasasa  ana miaka 71 walipeana zawadi ambapo Maradona alimpa jezi yenye maneno “Fro Ali, my eternal friend”.
Baadae ilichezwa mechi huko Tunisia kwenye uwanja wa Azteca kati ya  timu ya maradona na Shilton
P yhaa tv come soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 

face book ipyana stephen



  Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment