Kenya imeharibu boti iliyopatikana na Heroini

Jeshi la wanamaji la Kenya ndilo lililokabidhiwa jukumu hilo la kuiharibu boti hilo Na walitekeleza wajibu wao kwa uadilifu kwa kuifunga vilipuzi kisha kuipeleka eneo la mbali katika Bahari hidi kisha kulipua


Boti hiyo inayoitwa 'Baby Iris' ilikamatwa na polisi kwa tuhuma za ulanguzi wa mihadarati.
Ripoti ya polisi inasema kuwa 'Baby Iris' inamilikiwa na bwenyenye mmoja raia wa Uingereza.
Boti hiyo iliyokamatwa katika bahari ya Kenya huko Mombasa itaharibiwa kuambatana na sheria za Kenya.

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share






 
Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment