Jux anaisogeza kwako video ya wimbo wake “Looking For You” feat Joh Makini. (Video)





kj
Ni siku moja imepita toka msaani wa Bongo Flava Jux aachie wimbo wake mpya Looking for You aliomshirikisha hiphop superstaa Joh Makini.


kj2


Jux ameona sio mbaya tukiendelea kufaidi yale mazuri kutoka kwake, ametusogezea official video ya wimbo wake Looking For You, video imetengenezwa South Africa chini ya usimamizi wa Gorilla Films na Video Director anaitwa Justin Campos.


Nimekusogezea video hiyo hapa chini bonyeza play kuitazama mtu wangu.

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share




usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 



Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment