Blogs za Nigeria zinaendelea kuripoti kuhusu skendo ya kifo cha msanii Skiibii.
Baada ya mahojiano na wasanii wakubwa kuhusu tukio hilo imegundulika
kwa asilimia 90 msanii Skiibii na uongozi wake umefaidika zaidi na jambo
hili.1.Skiibii aliteka vichwa vya habari kwa zaidi ya wiki mbili nje na ndani ya Nigeria, interviews na radio/ Tv zote kubwa, picha yake kusamba kwenye mitandao tofauti na stori yake kuwa gumzo kwa watu.
2. Muamko wa watu kuhusu Skiibii na kufuatiliwa ‘Brand Awareness’
Zaidi wa watu milioni moja wame google jina la Skiibii toka skendo hii imetokea nje na ndani ya Nigeria.
3. Ameongea followers twitter,instagram na Facebook kwa muda mfupi.
Kufuatia skendo yake kila mtu ametaka kumjua na ndio maana alipata watu wengi kwa wakati mmoja kwenye mitandao yake.Kabla ya kifo Instagram yake ilikuwa na followers 20k followers na sasa ni zaidi ya 40k.
4. Amependwa zaidi
Baada ya kujua amefariki wengi walisikitishwa na taarifa hizo, ila walivyopata habari yuko hai, furaha ilionekana na mashabiki wanamthamini zaidi.
5. Nyimbo anazotoa zinasubiriwa kwa hamu zaidi
Tuna sema Dead men don’t release new music. ila kwa Skiibii tutakubali kusikiliza na kujua kaimba nini.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment