Binti wa miaka 11 na mtoto wake!, sababu ya ujauzito wake


Paraguay ni moja ya nchi zinazopinga utoaji wa ujauzito na mwanamke anaruhusiwa kufanya hivyo pale tu afya yake inapokua hatarini.
Taarifa ya binti wa miaka 11 nchini humo kujifungua mtoto baada ya kubakwa na baba yake wa kambo imeingia kwenye headlines.
Mwanaseheria wa binti huyo Elizabeth Torales, amesema binti huyo alijifungua salama katika hospitali ya  Red Cross hospital 
 na sasa hali yake pamoja na ya mtoto wake inaendelea vizuri.
Awali mama wa binti huyo aliomba mwanawe aitoe mimba lakini Serikali ya Paraguay ilikataa kutokana na kuwa ni kinyume na maandiko pia haki za binadamu.
Binti huyo alibakwa akiwa na miaka 10 na baba yake wa kambo ambaye ana miaka 42 na sasa kesi yake ipo mahakamani licha ya mwenyewe kukanusha tuhuma hizo.

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share






 
Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment