Mabingwa
wa soka Afrika mashariki na kati, Azam FC jana usiku wameanza vyema
mechi za kirafiki mjini Zanzibar kufuatia kuitandika 1-0 KMKM ya
visiwani humo katika mchezo uliopigwa uwanja wa Amaan.
Goli
pekee la ushindi la Azam lilifungwa na Gadiel Michael Mbaga akimalizia
pasi ya winga mpya ambaye alicheza kwa mara ya kwanza tangu asajiliwe
kutoka Simba, Ramadhan Singano 'Messi'.
RATIBA YA MECHI NYINGINE:
Jumamosi 15/08/2015 Azam FC vs Mafunzo Saa 1:00 usiku
Jumatatu 17/08/2015 Azam FC vs JKU saa 1:00 usiku
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos


0 comments:
Post a Comment