Akaunti ya Fid Q imerudishwa? Mo Music na biashara za dagaa, Nay wa Mitego na video za damu

Fid Q kuhusu akaunti yake iliyotekwa,,anasema anashukuru akaunti yake kurudishwa, aliyehusika amesikitishwa na alichokifanya, anasema baada ya kugundua amemkosea alisikitika na kuomba msamaha kwa kile kilichotokea..tayari alianza mikakati ya kumfungulia kesi lakini kabla ya kufanya hivyo alipata ujumbe kutoka kwa msichana huyo akiomba samahani kwa kilichotokea.

fii
Fid Q
Zaidi ya miei mitatu iliyopita Mo music alizungumzia biashara yake ya kuuza dagaa na Senene lakini imeonekana kuyumba kidogo, mwenyewe amezungumza na kusema ameegemea zaidi kwenye biashara ya kuuza unga wa sembe akishirikiana na baba yake.
mooo
Mo music
Nay wa Mitego amesema kitendo chake ya kutumia damu na masamu ya kishetani katika video zake amesema hata yeye hajui ni kwanini anatumia lakini amekua anapenda, anajikuta ana idea ya kutumia vitu hivyo..pia ni kama utambulisho wake..anapenda vitu vya kitofauti ambavyo wengi hawatarajii kama anaweza kufanya.
NY
Nay wa Mitego
P yhaa tv come soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 

face book ipyana stephen



  Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment