Mwishoni mwa juma Diamond pamoja na mpenzi wake Zari waliweka picha
walizopiga pamoja huku Zari akiwa katika siku za mwisho kabla ya
kujifungua. Picha hizo zilizua majibizano mengi kutoka kwa mashabiki wao. Zitazame hapa…
Katika akaunti ya @Zarithebossladyaliweka picha na kuandika ujumbe huu
Pia kuna hii Video ambayo Diamond alihojiwa na AyoTV.com akiwa Afrika
Kusini muda mchache kabla ya kupata tuzo ya MTV NA kuzungumza mambo
mbalimbali ikiwemo ya ujio wa mtoto wake
0 comments:
Post a Comment