Ligi kuu ya England inakaribia kufikia tamati na jana Arsenal imeaonyesha nia ya kutaka kumaliza ligi hiyo ikiwa katika nafasi tatu za juu baada ya jana kucheza na Hull City.
Katika mchezo huo ambao Arsenal
walionekana kuwadhibiti vyema wapinzani wao waliibuka na ushindi wa
mabao 3-1, mabao ambayo yalifungwa na Alexis Sanchez amefunga mabao mawili, huku Aaron Ramsey akapachika moja na kuisaidia Arsenal kuibuka na ushindi huo dhidi ya wapinzani wao Hull City.
Kwa ushindi huo, Arsenal imeendelea
kubaki katika nafasi ya tatu, ikiwa na pointi 70 sawa na Man City katika
nafasi ya pili na imebakiwa na mchezo mmoja mkononi.
Unahitaji chochote ninachokipata
kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook andika ipyana stephen utanipata kupitia hapo na Instagram kwa
kubonyeza hapa p yhaa TV.
0 comments:
Post a Comment