Shindano ya Tanzania Movie Talents Kanda ya nyanda za juu kusini Mbeya limekamilika kwa washindi watatu kupatikana.‏


Msaani maarufu wa Bongo Movie Mboto ni mmoja wa team ya TMT katika kuwapa maelekezo wasanii waliojitokeza kushiriki shindano hilo

Majaji wa TMT Rich,Monalisa na Roy katika meza yao wakitazama na kujaji vipaji vya wasanii waliojitokeza katika mashindano
Mboto akiwa kazini
Meneja wa mradi wa TMT 2015 Saul Mpoki akizungumza na wasanii wa mkoa wa Mbeya kuhusu makusudio ya mradi huu katika kukukuza vipaji vyao na kuwatengenezea mwanya wa ajira.
Jaji Mkuu Roy akitoa  maelekezo namna ya kuigiza kwa kutumia mswada (script) kuusoma na kuuelewa vizuri
Washiriki wakiwa mbele ya majaji wakipewa maelekezo namna ya kuigiza kwa kutumia mswada (script) hasahasa kuusoma na kuuelewa.
Washiriki wakisoma mswada (script) na kuigiza kabla ya kwenda kwa majaji kuonesha uwezo wao 
Washiriki wakisoma mswada (script) na kuigiza

Washiriki wakisoma mswada (script) na kuigiza kabla ya kwenda kwa majaji kuonesha uwezo wao 


Baada ya kusoma Script wanasubiri kuingia ndani kwa majaji kuonesha ujuzi wao katika kuigiza kutumia mswada (script) 
foleni kuingia ndani kwa majaji kuonesha ujuzi wao katika kuigiza kutumia mswada (script) 

Majaji watatu wa TMT 2015

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment