MSOMI wa Digrii ya uhandisi wa kilimo na mtaalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka chuo kikuu cha kilimo Sokoine (SUA)Mhandisi Sebastiani Kayoyo (39) anetangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika jimbo la Isimani kwa tiketi ya CCM linaloshikiliwa na Waziri wa ardhi ,nyumba na maendeleo ya makazi Wiliam Lukuvi Akitangaza nia yake hiyo mkoani Iringa juzi Kayoyo alisema kujitosa katika jimbo hilo ni kuhakikisha maendeleo yakiongezeka kwa kasi na kutoa fursa za kiuchumi kwa wananchi wa jimbo hilo.
Kayoyo alisema kuwa siko kwamba mbunge aliyeko madarakani
hajafanya mambo ya msingi ila mbunge huyo ameongoza jimbo hilo kwa miaka
mingi hivyo ni fursa ya hazina kubwa ya vijana walioko ndani ya chama
cha mapinduzi kuweza kushika hatamu katika kusukuma mbele gurudumu
la maendeleo katika nchii hiii "Mbunge anayeshikiria jimbo ninamheshimu sana na ameweza kufanya
mambo mengi mazuri, hivyo kwa kidemokrasia nina kuwa na Haki ya msingi kikatiba, nitahakikisha naendeleza mambo ya msingi ambayo bado hajayatekeleza, hii ni pamoja na kuongeza nguvu kwa wananchi wengi waliokosa fursa mbalimbali" kayoyo.

Kakoyo ambaye kwa sasa ni mwajiriwa wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa
Rukwa kama muhandisi wa kilimo (Mtaalamu wa zana za kilimoba kilimo
cha umwagiliaji )ni mzaliwa wa kijiji cha Tungamalenda kata ya
idodi tarafa uya idodi iliyopo ndani ya Jimbo hilo la Isimani.
Alipoulizwa kuhusiana na hatima ya ajira yake endapo ataukosa
ubunge ,”Mimi ni mtumishi wa serekalina ninajua raratibu zote za
utumishi
serekali lakini niko tayari kuacha kazi ili kufanyakazi na ndugu zangu wa Isimani katika kujiletea maendeleo”
Akitaja vipaumbele vyake endapo chama chake kitampa ridha ya kukimbiza kijiti hicho Kayoyo alisema kuwa ataweka msisitizo katika
swala la afya , kilimo ,maji safi na salama pamoja na swala la miundombinu ikiwemo Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kwa kwa kuwa jimbo hilo halijawahi kuwa na lami tangu nchii hii ilipopata uhuru wake "Nia yangu ni kuona maendeleo ya jimbo hilo yakiongezeka,

napendakuona wananchi ambao asilimia kubwa ni wakulima wakipata fursa
za kusafirisha mazao yao nje ya jimbo hilo huku vijana nao wakipata
kuwezeshwa, uongozi ni kupokezana kijiti hivyo kijiti hicho nitakiongoza vizuri na naomba wananchi siku itakapofika ni kutekeleza wajibu" alisema Kayoyo.
0 comments:
Post a Comment