Wema ameeleza kuwa yeye tayari ni mke wa mtu, na kwamba yeye na mwenza wake huyo wameshafunga ndoa ya bomani kwani mume wake ni mkatoliki na mme wake huyo amekubaliana na hali yake ya kutoweza kushika ujauzito. Wema aliongeza kuwa mwisho wa mwezi wa tano watafanya party rasmi kwani harusi yao hiyo ya siri iliusisha watu wachache sana wasiozidi wa tano .
Hongera sana Wema.

0 comments:
Post a Comment