Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa
Tanzania Mizengo Pinda jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa
Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach
Resort,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri Mkuu wa Tanzania
Mizengo Pinda(wa pili kushoto) Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai
Nahodha(kushoto) Mama Mwanamwema Shein (kulia) na Mwenyekiti wa Mkoa wa
Magharibi Yussuf Mohammed Yussuf wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana,[Picha na Ikulu.] Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Uzinduzi
wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana
katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort akiwepo Mke wa Mamako wa
Pili wa Rais Mama Pili Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto),[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea taarifa kutoka kwa Katibu
wa CCM Mkoa wa Magharibi Aziza Mapuri jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Viongozi mbali na
wanachama wa CCM na Wafanyabishara katika chakula cha jioni wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort, [Picha na Ikulu.]
Kikundi cha Imarisha cha CCM MKoa Amani kikitoa burudani ya ngoma ya Tukulanga wakati wa
Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na Ikulu.] Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Nne kutoka kwa Waziri asiyekuwa na Wizara maalu na Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM NEC Machano Othman Said wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort,[Picha na Ikulu.]

wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim
shilingi Millioni Tano kutoka kwa Waziri wa Fedha Omar Yussuf na Mkewe wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort,[Picha na Ikulu.
]
0 comments:
Post a Comment