Si
jambo la kawaida kusikia mtoto kamuua mama yake ama mama kamuua mtoto
wake, japo kwa miaka ya sasa matukio kama hayo yameshamiri kwa kiasi
kikubwa sehemu mbalimbali duniani.
Tukio la mtoto kumuua mama yake leo limechukua headlines huko Zimbabwe baada ya kutokoea kutoelewana baina yao.
Kilichotokea ni kwamba binti wa miaka 17
alimuua mama yake kwa kumchoma moto baada kulazimishwa kufua nguo
chafu, kitendo kilichomkasirisha na kufikia uamuzi huo.
Kabla ya kumuua mama yake kwa kumwagia
mafuta kisha kumchoma moto, mama yake alimpiga kitendo kilichomuuzi
binti
huyo na kufanya uamuzi huo mgumu.
Polisi wamemfungulia mtoto huyo mashtaka ya mauaji licha ya kupewa taarifa kuwa alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa akili.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook ipyana stephen na Instagram p yhaa tv .
0 comments:
Post a Comment