ALIKIBA AKAVAMIWA USIKU WAKUAMKIA LEO

Usiku wa kuamkia leo Alikiba msanii wa bongo flava alivamiwa na watu wapatao 20. Watu hao ambao walikuja na silaha kama mapanga wanasemekana kuwa ni majambazi. Walivuja nyumba na kuiba vitu walivyoweza kuiba. Pia walimtesa mlinzi nakutaka awaeleze Alibika yako yapi. Pole sana Ali.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment