walter kumleta msanii mpya kwenye game ya bongo fleva je atadumu nambie.

Wimbo mpya wa Mwadada Migeshi akimshirikisha Walter Chilambo wimbo unaitwa "Mmechemka" Producer Kita.
 
je unazani kwa sasa muziki wa bongo unakuwa kwa upande wa akina dada 
tufanyekitugani ili muziki wetu uzidi kukua na kusonga mbele
ama watu wanakuja kuuza sura.. 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment