
MABINGWA WA LIGI KUU NDO HAWA
Mabingwa
wa ligi kuu Soka Tanzania Bara, Young Africans wamesema hawana mpango
wa kuiachia timu yoyote kuweza kushika nafasi ya pili katika ligi hiyo
inayotarajiwa kumalizika Mei 9 mwaka huu.Akizungumza Jijini Dar es
salaam, mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano Yanga Jerry Muro
amesema katika mechi zilizobakia, timu itacheza kwa kujituma japo
imeshajihakikishia ubingwa.

0 comments:
Post a Comment