afrika kusini wazidi kufukuzwa raiya wake nchi tofauti tofauti africa

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema mataifa ya Afrika yanapaswa kuwazuia raia wake kuhamia Afrika Kusini kwa shabaha ya kudhibiti vitendo vya vurugu dhidi ya wahamiaji nchini humo. Kauli hiyo ameitoa jana katika mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi zilizo kusini mwa Afrika SADC, uliofanyika mjini Harare.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment