TAMBI ZAWA BIDHAA GHALI ZAIDI KULIKO TUMBAKU MAGEREZANI MAREKANI


Utafiti uliofanywa umebaini kuwa tambi za Ramen zimeipiku tumbaku kwa kuwa bidhaa ghali zaidi kwenye magereza nchini Marekani.

Utafiti umesema kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kushuka kwa kiwango na ubora wa chakula kinachotolewa magerezani.

Kutokana na kuwa ni za bei nafuu, zenye ladha na zenye wanga mwingi tambi za Ramen zimekuwa na thamani mno katika magereza ya Marekani kiasi ya wafungwa kubadilishana na vitu vingine ili kuzipata.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment