USAIN BOLT ATEMBEA NA CHOMBO CHA MAGURUDUMU

  

Mwanariadha Mjamaica, Usain Bolt ameonekana akiwa juu ya chombo cha magurudumu mawili wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Heathrow Jijini London, siku chache tu baada ya kugongwa na chombo kama hicho nchini China.

Usain Bolt aligongwa na chombo hicho na mpigapicha za video katika michuano ya riadha ya mabingwa wa dunia iliyomalizika nchini China hata hivyo alikuwa na bahati hakuumia katika tukio hilo.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 







Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment