Msanii wa muziki wa Bongo Flava Mr Blue ana asbabu kubwa sana ya kufurahia siku hii ya leo, dakika chache zilizopita Mr Blue ameshare na sisi furaha yake kubwa ya kumkaribisha mtoto wake pili duniani… kupitia Instagram yake Mr Blue amepost picha ya mtoto wake na ujumbe wa shukrani unaosema..
>>>“Alhamdulilahi
Mungu ni mwema sana sana… hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu
kumtukuza na kumshukuru, namshukuru sana Mungu wangu na nashukuru pia
mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine nzuri…
nimepata mtoto mwingine wa kike ndugu zangu anaitwa #khairriyaaa…
ahsante Mungu kwa kunipa baba na mama wa kunilea tena uzeeni…”<<< @mrbluebyser1988.
Hongera sana Mr Blue kwa kupata mtoto wa kike!
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment