Yamoto Band kwenye headlines za burudani, baada ya kuachia video ya wimbo wao ‘Cheza kwa madoido’ sasa ni muda wa kuitambulisha ngoma hiyo kwenye kituo kikubwa cha burudani Africa!
Cheza kwa madoido inatambulishwa rasmi leo saa kumi na mbili jioni kama #SpankingNew kwenye MTV Base Africa kuwapa fursa watazameji wengine Africa kuitazama video hiyo na pia kupata flava nyingine ya muziki kutoka Tanzania.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment