Rapa Songa kutoka Tanzania amepewa tuzo ya Silver
toka Mdundo.com (Kenya) kwa kuweza kufikisha zaidi ya Downloads 100,000
katika mtandao wao. Huu ni mtandao wa muziki Kenya na hulipa wasanii
kwa kuweka kazi zao kwenye mtandao huo.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment