PICHA ZA VIDEO ZAMUONYESHA POLISI MAREKANI AKIMPIGA RISASI MTU

Picha za video zimeibuka zikimuonyesha polisi mmoja Jijini Texas nchini Marekani akimpiga risasi mwanaume mmoja aliyekuwa amenyanyua mikono juu.

Video hiyo iliyotolewa na chombo cha habari kimoja huko San Antonio, inamuonyesha Gilbert Flores akiwa nje ya nyumba mikono yake ikiwa juu huku risasi ikifyatuliwa na kuanguka ukutani.

Polisi walisema mtu huyo alikuwa na silaha na jaribio lao la kwanza ilikuwa ni kutaka kumpunguza nguvu ili wamuweke chini ya ulinzi.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment