NCHI ZA ULAYA ZAKIRI KUELEMEWA NA MGOGORO WA WAHAMIAJI

Mgogoro wa wahamiaji Ulaya umeongezeka jana usiku baada ya udhibiti mipaka kutambulishwa na Ujerumani ikikiri kushindwa kukabiliana na ongezeko hilo.

Ujerumani imeamua kuwashutuma wengine ikiwemo nchi ya Uingereza kwa kutochukua wakimbizi zaidi baada ya kusema kuwa haitowarejesha wakimbizi wanaotoka Syria.

Kutokana na hali hiyo suala la kusafiri bila paspoti katika nchi za Umoja wa Ulaya, linatarajiwa kufutwa, baada ya Ujerumani kuiomba Italia kuimarisha udhibiti mipakani.
      Wahamiaji wakiwa wamerundikana mitaani Ulaya
                     Wahamiaji wakipambana na askari 

P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Image caption
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment