mshambuliaji mpya aliyesajiliwa na Man United


Dakika zipatazo 40 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya kufungwa, klabu ya Manchester United imetangaza usajili wa mshambuliaji mpya.
 
Mshambuliaji huyo ni Anthony Martial, kinda mwenye miaka 21, raia wa Ufaransa ambaye alikiwa akikipiga katika klabu ya As Monaco ya Ligue 1.

United wamekuwa sokoni kutafuta mshambuliaji wa kumsaidia Wayne Rooney na kocha Louis Van Gaal aliahidi kusajili mshambuliaji kabla ya dirisha la usajili kufungwa lakini haikutegemewa angemsaini kinda huyo kutoka Ufaransa.
 
Bei aliyonunuliwa mshambuliaji huyo bado haijawekwa wazi ila ripoti zinasema United wameilipa Monaco kiasi cha £36m.

P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment