Manchester
United wametaja kikosi kitakachocheza hatua ya makundi ya Champions
League, huku wakijumuisha jina la golikipa David De Gea ambaye uhamisho
wake kwenda Real Madrid ulikwama dakika za mwisho za dirisha la majira
ya kiangazi huko Hispania.
Kwasasa
De Gea yuko na kikosi cha timu ya Taifa ya Hispania inayojiandaa na
mchezo wa mwisho mwa Juma hili wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya
Ulaya kwa mwaka 2016 nchini Ufaransa.
Hata hivyo, Mhispania mwenzake, Victor Valdes hajaingizwa kwenye kikosi hicho chenye wachezaji 26.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos


0 comments:
Post a Comment